Muziki Ijumaa

Rhumba ndani ya makala Muziki Ijumaa

Informações:

Synopsis

Kila Ijuma rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kipekee kuskiza vibao moto moto  ndani ya Makala Muziki ijumaa. Katika Makala haya Utaskia vibao moto kutoka kwa wasanii wakale kama vile Madilu System, hadi wa sasa kama vile Hermonize kutoka Tanzania. Kwa uhondo zaidi skiza makala.