Jukwaa La Michezo
Senegal kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olimpiki ya kwanza kabisa Afrika, 2026
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:23:47
- More information
Informações:
Synopsis
Tuliyokuandalia ni pamoja na bodi mpya ya uchaguzi wa shirikisho la soka nchini DRC, waziri wa michezo nchini Tanzania Damas Ndumbaro abainisha viwanja 20 kwa ajili ya AFCON 2027, timu ya REG nchini Rwanda yafuzu Ligi ya Basketboli Afrika 2024 kwa kina dada, mechi za kufuzu CHAN 2025, hatma ya kocha wa Rwanda Torsten Spittler, Senegal kuandaa michezo ya Olimpiki ya kwanza barani Afrika ya chipukizi mwaka 2026, kocha mpya wa Man Utd, mashindano ya Paris Masters na Brazilian GP Afrika inatarajia michezo ya kwanza ya Olimpiki ya vijana itakayoandaliwa barani Afrika mwaka 2026, jijini Dakar, mji mkuu wa Senegal.Michezo hiyo imepangwa kufanyika kati ya Oktoba 31 na Novemba 13, 2026, tukio ambalo litaleta pamoja wanariadha bora zaidi ulimwenguni kushiriki katika michezo 35 tofauti kwa siku 14.Tamasha la Dakar en Jeux (Dakar in Games) lilipangwa awali kwa kipindi cha Dakar 2022, katika miji mitatu ya mwenyeji wa Dakar, Diamniadio, na Saly.Tangu wakati huo, Dakar en Jeux imekuwa sherehe ya kila mwaka ya michezo na ut
Join Now
- Unlimited access to all content on the platform.
- More than 30 thousand titles, including audiobooks, ebooks, podcasts, series and documentaries.
- Narration of audiobooks by professionals, including actors, announcers and even the authors themselves.