Jioni - Voice Of America

Wataalamu wa afya wanajadili kuhusu ugonjwa wa kisukari, dalili zake pamoja na matibabu. Pia wanasisitiza mazoezi na mlo sahihi kwa binadamu - Novemba 15, 2024

Informações:

Synopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.