Habari Rfi-ki
Tanzania, Uganda na DRC zafuzu kucheza AFCON
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:10:02
- More information
Informações:
Synopsis
Hujambo na karibu kwenye makala ya habari rafiki, leo tunajadili kufuzu kwa mataifa ya Tanzania Uganda na DRCongo , kucheza kwenye mchuano ya kuwania AFCON, mataifa haya yakiwakilisha Afrika Mashariki nchini Morroco mwaka ujao. Je unazungumziaje kufuzu kwa mataifa haya?Haya hapa baadhi ya maoni.