Habari Za Un
Mashauriano ya mkataba wa kutokomeza plastiki yaahirishwa hadi mwakani, rasimu mpya yawasilishwa
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:01:58
- More information
Informações:
Synopsis
Vuta nikuvute kwenye mashauriano huko Busan, Korea Kusini kuhusu mkataba wenye nguvu za kisheria dhidi ya uchafuzi utokanao na matumizi ya plastiki na kulinda mazingira ya baharini imefikia ukingoni kwa mkutano kuahirishwa na wawakilishi wa nchi zilizokuwa zinashiriki kuridhia rasimu mpya yenye ibara 32 itakayojadiliwa mwakani. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.