Habari Za Un

UNICEF yawapatia wakulima nchini Zambia tumaini la kupata chakula

Informações:

Synopsis

Awamu ya pili ya mradi wa kuboresha lishe, SUN II nchini Zambia umewezesha wakulima kupanda mazao yanayohimili ukame na vile vile kukabiliana na viwavi jeshi kwa kutumia mbinu za asili, mradi uliotekelezwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, ili wakulima wasikumbwe na njaa wakati huu ambapo ukame umetikisa nchi za kusini mwa Afrika. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.