Habari Za Un

WHO na UNICEF wafikisha chanjo ya polio kwenye maeneo yasiyofikika ya West Pokot Kenya

Informações:

Synopsis

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani WHO, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa ushirikiano na serikali ya kenya na wadau wengine wa afya  hivi karibuni wamezindua kampeni ya  chanjo ya polio katika jamii ya wafugaji na wakulima ya kaunti ya West Pokot Mashariki mwa Kenya ambako mara nyingi ni vigumu kufikiwa. Flora Nducha amefuatilia kampeni hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo..