Alfajiri - Voice Of America

  • Author: Vários
  • Narrator: Vários
  • Publisher: Podcast
  • Duration: 24:59:07
  • More information

Informações:

Synopsis

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast

Episodes

  • Romania yachunguza iwapo uchaguzi wa Rais wa Jumapili uliingiliwa kimitandao. - Desemba 12, 2024

    12/12/2024 Duration: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Marekani haitaki kuona ISIS wanajikita Syria - Desemba 11, 2024

    11/12/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Zaidi ya watu darzeni moja wahofiwa kufa kwenye ajali ya boti Misri - Desemba 10, 2024

    10/12/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Rais wa Syria, Bashar al-Assad adaiwa kukimbilia Russia - Desemba 09, 2024

    09/12/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Wakimbizi wa Malawi waanza kulipwa ridhaa kutokana na hasara waliopata kutokana na El Nino. - Desemba 06, 2024

    06/12/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Waziri Mkuu wa Mali asimamishwa kazi baada ya kukosoa serikali kwa kuchelewesha uchaguzi wa kidemokrasia. - Desemba 05, 2024

    05/12/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Kenya kutafuta washirika wengine wa kukarabati uwanjwa wa ndege wa Jomo Kenyatta baada ya mkataba wa Adani kufutwa. - Desemba 04, 2024

    04/12/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Alfajiri - Desemba 03, 2024

    03/12/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Rais wa Marekani Joe Biden Jumapili ameanza ziara ya siku 3 barani Afrika akianzia Cape Verde na kisha Angola. - Desemba 02, 2024

    02/12/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Alfajiri - Novemba 29, 2024

    29/11/2024 Duration: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Umoja wa Mataifa wakaribisha kuongezwa muda wa kupelekwa misaada ya kibinadamu Sudan - Novemba 28, 2024

    28/11/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Zaidi ya washukiwa 1,000 wakamatwa na Interpol kutokana na wizi wa kimitandao barani Afrika. - Novemba 27, 2024

    27/11/2024 Duration: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Somaliland kufanya uchaguzi Jumatano - Novemba 26, 2024

    26/11/2024 Duration: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Serekali ya DRC yatakiwa kuondoa utawala wa kijeshi - Novemba 25, 2024

    25/11/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Kundi jipya la wanamgambo kwa jina Lakurawas, laibuka kaskazini magharibi mwa Nigeria - Novemba 22, 2024

    22/11/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Viongozi wa mataifa ya kiarabu wampongeza Trump, wakiwa na imani kwamba atasaidia kurejesha amani Mashariki ya Kati - Novemba 21, 2024

    21/11/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Alfajiri - Novemba 20, 2024

    20/11/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Chama cha Rais mpya wa Senegal Bassirou Diomaye Faye chaelekea kupata wingi wa viti vya wabunge baada ya uchaguzi wa Jumapili. - Novemba 19, 2024

    19/11/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Waziri Mkuu wa India Narendra Modi afanya ziara ya kwanza nchini Nigeria. - Novemba 18, 2024

    18/11/2024 Duration: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Raia wa kigeni walio nusurika na mapigano waomba msaada kurejea makwao - Novemba 15, 2024

    15/11/2024 Duration: 29min

page 1 from 3