Afrika Ya Mashariki
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 3:58:42
- More information
Informações:
Synopsis
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
Episodes
-
Uelewa wa wananchi wa Mwanza kuhusu mvua za El Nino
01/11/2023 Duration: 09minBaadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki yameendelea kufanya maandalizi kuelekea mvua za El Nino.
-
Nishati inachangia asilimia kubwa kwa ukuaji wa Uchumi wa mataifa
28/10/2023 Duration: 09minSekta ya Nishati ndiyo mhimili muhimu wa maendeleo ya taifa lolote lile, Mathalan takwimu zinaonesha, mahitaji ya juu ya umeme yameongezeka ambapo serikali ya Tanzania inasema kuwa muelekeo ni kuongeza katika Gridi ya Taifa MW 218.67 na kufikia MW 1,913.22 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2022/23.
-
Biashara ya samaki na dagaa jijini Mwanza nchini Tanzania.
18/10/2023 Duration: 09minMakala ya wiki yanaangazia namna wanawake waendeleza biashara ya samaki nchini Tanzania
-
Tanzania: Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya Ruaha
11/10/2023 Duration: 09minJamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya Ruaha