Synopsis
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Episodes
-
Vijana Uganda washauriwa kutumia simu za mkononi kupambana na ufisadi - Desemba 06, 2024
06/12/2024 Duration: 29minVijana Uganda washauriwa kutumia simu za mkononi kupambana na ufisadi
-
Vijana wa Afrika mashariki wanaeleza namna wanavyotumia rasilimali ya udongo katika kuleta maendeleo kwa jamii wanazoishi. - Desemba 05, 2024
05/12/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Dunia inaadhimisha siku ya walemavu huku walezi au wazazi wanaowahudumia walemavu wanaeleza changamoto zilizopo katika maisha ya kila siku. - Desemba 03, 2024
03/12/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana nchini Kenya wanaaswa kutambua na kujilinda na maambukizi ya HIV ambayo yanaongezeka kwenye kundi la miaka 15 hadi 24. - Desemba 02, 2024
02/12/2024 Duration: 30minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Serikali ya Kenya inaendelea kuajiri vijana kwa wingi wakafanye kazi ugaibuni - Novemba 27, 2024
27/11/2024 Duration: 29min -
Program tofauti zinafanyika katika nchi nyingi za Afrika katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia hadi Disemba 10. - Novemba 26, 2024
26/11/2024 Duration: 30minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mwanaharakati wa wanawake wa shirika la Open Talk la Kenya anaelezea elimu wanayotoa kusitisha visa vya ukatili kwa wanawake na wasichana - Novemba 25, 2024
25/11/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana katika COP29 nchini Azerbaijan wanasema wanataka siti na ushirikishwaji wa moja kwa moja wa majadiliano ya mabadiliko ya tabia nchi. - Novemba 22, 2024
22/11/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Novemba 21, 2024
21/11/2024 Duration: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao - Novemba 20, 2024
20/11/2024 Duration: 29minWakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao
-
Unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto na unyanyasaji mwingine nchini Tanzania unaongezeka, kulingana na taasisi ya Macho kwa Jamii. - Novemba 19, 2024
19/11/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Kijana mfanyabiashara wa Kariakoo nchini Tanzania anasema biashara imebadilika tangu jengo la ghorofa lilipoanguka na kusababisha maafa. - Novemba 18, 2024
18/11/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana na mashabiki wa muziki wanaelezea walivyoguswa na kifo cha King Kiki, gwiji wa muziki wa Rumba huko Tanzania na Afrika Mashariki. - Novemba 15, 2024
15/11/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mwanzilishi wa Unique Journey Life Coach ya Marekani anaelezea changamoto zilizopo wasichana kujitokeza wanaopitia unyanyasaji wa kijinsia. - Novemba 14, 2024
14/11/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana wanataka wasiachwe nyuma katika kulinda mazingira - Novemba 13, 2024
13/11/2024 Duration: 29minVijana wanataka wasiachwe nyuma katika kulinda mazingira
-
Wanawake wenye msongo wa mawazo washauriwa kupata ushauri badala ya Skanka - Novemba 12, 2024
12/11/2024 Duration: 29minWanawake wenye msongo wa mawazo washauriwa kupata ushauri badala ya Skanka
-
Mwanzilishi wa Doris Mollel Foundation ya Tanzania anaeleza changamoto zilizopo katika kusaidia afya ya Mama na mtoto kwa vijana nchini humo - Novemba 11, 2024
11/11/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.